Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngosha car wash karibu na mahakama kuu, muosha magari baada ya kuosha gari Ford Ranger akaenda kutamba Makulu akapata ajali kama inavyoonekana hapo, akapata uchizi wa ghafla.leoView attachment 1877445
Nimeona picha road trip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka Kama mazuri[emoji1787]

Muwe mnaondoka na funguo Jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…