Nimesoma hiyo Mathew 7:7-9 nimefarijika sana.
Nadhani ni muda mwafaka wa kutuma pia na yale maombi yangu mengine uliyoya reject kipindi kile ππ
Mungu ni mwema, utayapitisha kwa kura za kishindo ππ
Pokea na hiyo Hennessey uinywe taratibu wakati unapitia file langu πΎπΎ π