Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210724_113847.jpg
 
Mwenzenu mwalimu mkuu wangu msaidizi amelezwa alfajiri ya leo yuko ICU imedhihirika kabisa ni COVID, Jana alikuwa kwenye send off ya mwanae hapo Cathedral. Tumetimbwilika nae wee. Alfajiri ya leo kafikia ICU. Yaani leo kazini kila mtu kanywea wenye roho ndogo wakaanza kulia eti wanahisi wameambukizwa. Tuombeane heri Jamani
Hofu inaua pia
 
Back
Top Bottom