T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,099
Teh!!kuna kitu unataka kumnyima T 1990 ELY mkuu
Hiyo shikamoo nzito sana inatengeneza uzibe
Kwema mkuu Mjep
Teh!!kuna kitu unataka kumnyima T 1990 ELY mkuu
Saint AnneNakusalimu boss.
Shikamoo.
Mkwema mkuu wangu unaendelwaje sasa mkuu
Umekaa usukumani maji yao/yetu yalikubadirisha kiasi Da'Vinci ?Kuna kipindi nimekaa usukumani maji yao yalinibadirisha kiasi.
Thanks can't deny that. A small price for salvation![]()
Vizuri sana kama ni kwema mkuuMkwema mkuu wangu unaendelwaje sasa mkuu
Pole kwa mara nyingine
Hiyo shikamoo nimeona imesiriba sana tehe.....
Mnamwagilia moyomaisha yangekua vp bila beerView attachment 1862699
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hii wapi? Kimara Suka au?
Mbona uliitikikia? Vigezo vyangu ni kuwa nawapa shikamoo wanaume wote. 😂
MmmmmmmmhMbona uliitikikia? Vigezo vyangu ni kuwa nawapa shikamoo wanaume wote.![]()
Hutaki shikamoo yangu temana nayo![]()
Na hata milele AminaJana na leo.
Unaendeleaje?
Mungu akuponye zaidiNa hata milele Amina
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri kwa sasa mpendwa

Hongera sana.. Penye mafanikio vema kupongezanaMjengo alhamdulilahnyumba ya pili hii nimekamilishaView attachment 1863207View attachment 1863206View attachment 1863208




Hongera mkuu,Nyumba yako nzuri.Mjengo alhamdulilahnyumba ya pili hii nimekamilishaView attachment 1863207View attachment 1863206View attachment 1863208