Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,245
Nakusalimu boss.kuna kitu unataka kumnyima T 1990 ELY mkuu
Shikamoo.
Nakusalimu boss.kuna kitu unataka kumnyima T 1990 ELY mkuu
Marahaba mama mchungajiNakusalimu boss.
Shikamoo.
Siku hizi hata picha Sina[emoji4]Marahaba mama mchungaji
Nimefurahi kukuona hapa
Naamini uko poa mdogo wangu naomba uselfike hapa please umemisika
Fanya namna mkuuSiku hizi hata picha Sina[emoji4]
Nitajitahidi nipige.
Nitapiga tu ila sijui ni lini,Fanya namna mkuu
Hapa nawakilisha walio wengi kapicha kako ni muhimu
Kawaida kunyimana mkuu. Kupeana peana nako siyo vizuri.kuna kitu unataka kumnyima T 1990 ELY mkuu
Hahaha hebu nione zako jamaniAjabu chuga lady kukosa Lil wayne's teeth 😂😂
😂😂 ngoja mwenye kilinge aseme chochote😂
Ulikua unaandika nini hicho mkuu, kitambi kipo kipo cha kupangusia simu kioo😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta....itoshe kusema una shape kalumbu hope kitambi hakuna
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tuliokula ugali hongera haituhusu? DahEID on road hongereni mlopata muda mkala walau ubwabwa[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1862777
ArushaLipo wapi?
We mwenyewe mbona huna??!! Au mzamiaji 😄
Kuna kipindi nimekaa usukumani maji yao yalinibadirisha kiasi.We mwenyewe mbona huna??!! Au mzamiaji 😄
Thanks can't deny that. A small price for salvation 😅Una lips nzuri D.
Ngoja nibadili diniNatafuta rafiki mpya wa kiislamu. Niliye nae ni mchoyo [emoji85]
EidMubarak [emoji1635]
Loc. MasanzaKona
View attachment 1862642