Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 26,000
- 137,067
AbeeNaomba uitike kwanza
AbeeNaomba uitike kwanza
Una sauti nzuri hivi dahAbee
Mie mzima kabisa,unaendeleaje??Hapo sawa
Mambo poa tu vipi mzima wewe mkuu
Vizuri sana kama wewe ni mzima kabisaMie mzima kabisa,unaendeleaje??
Mnanishambulia....kama mpira wa kona.Una sauti nzuri hivi dah
Hebu Fanya mipango umlete hapa nilipo tule eid
Tutakulinda kwa gharama zozote zileMnanishambulia....kama mpira wa kona.
Ni jambo la kumshukuru MUNGU.Vizuri sana kama wewe ni mzima kabisa
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri kwa kweli hali si haba kwa sasa.
Teh!!Hebu Fanya mipango umlete hapa nilipo tule eid
Yallah,nimecheka asubuhu huuTutakulinda kwa gharama zozote zile
Hahahaha safi km umefurahi karibuYallah,nimecheka asubuhu huu
SafiTeh!!
Sawa subiria nimwambie maana ndo kaamuka
Ahsante sanaHahahaha safi km umefurahi karibu
Ahsante,sanaAmina
Karibu
Watoto wa kiislamu mnaukarimu sana ,sauti nyororoo ,lainiii.Ahsante sana
Mkuu akaribie jukwaan au wapi?Amina
Karibu
HahaMkuu akaribie jukwaan au wapi?