FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,923
- 11,305
Kucha za kibahiri
Kucha za kibahiri
Wasisahau kutupia huku maselfieMialiko ya ubwabwa wadada mtueliki hatuji na box la.condom
La muhimu sana hiloWasisahau kutupia huku maselfie
HahahahaLa muhimu sana hilo
Swadakta mtoto mashalaah una heena una jicho ,eid al adha karibu binti
Oho! Kimeunana ungetuma za birthday ya juzi
Khe! Acha tamaa mzeeSwadakta mtoto mashalaah una heena una jicho ,eid al adha karibu binti
Hahahaha umeona jicho lakin na heena ? Mtoto ana lamba vidole aseeKhe! Acha tamaa mzee
Hebu muacheni kwanza ndo kaamka mjue
Nikajua anaramba koniHahahaha umeona jicho lakin na heena ? Mtoto ana lamba vidole asee
HahahahaNikajua anaramba koni
Mambo VIpi??
Naomba uitike kwanzaMambo VIpi??
Pamoja na hiyoOho! Kimeunana ungetuma za birthday ya juzi

Hahahaha nzuri lkn mkuuHaha
Habari za asubuhi mkuu