Selfika na JF: Snap it. Show it

Njema tu.

Pole sana aiseeee,nakuonea huruma sana ila ndio vile maumivu ya vidonda hatuwezi kusaidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri sana kama ni njema tu

Akhsante sana kwa kunionea huruma mpendwa

Maumivu ya vidonda tunaweza kusaidiana bhana

Upo tayari nikupe maumivu ya kidonda cha jeraha la hapa begani?
 
Vizuri sana kama ni njema tu

Akhsante sana kwa kunionea huruma mpendwa

Maumivu ya vidonda tunaweza kusaidiana bhana

Upo tayari nikupe maumivu ya kidonda cha jeraha la hapa begani?

Hayasaidiki hayo.
Ingekuwa yanasaidika basi mama yangu angekuwa was Kwanza kunisaidia kipindi ananiuguza..ni vile alikuwa hana Cha kufanya anaishia kunionea huruma.

Cha begani hapana
mkono wangu nina kilema ujue
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bhasi chukua haya maumivu ya jeraha la mkononi.

Yangekuwa maumivu ya kimapenzi/mahusiano tungeweza kubadirishana mkuu?
 
Bhasi chukua haya maumivu ya jeraha la mkononi.

Yangekuwa maumivu ya kimapenzi/mahusiano tungeweza kubadirishana mkuu?
Ohoo Sasa mkono si ndio nina kilema

Maumivu ya mapenzi ni ya kujitakia,siwezi msaidia mtu kuyabeba.
Ya ajali huwa yantokea bahati mbaya.

Enhee kwanza tuhadithie ilikuwaje kuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…