Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuelewa mtumishi mwenzangu.

Huwa inatokea, watoto wa kike ni marafiki zaidi wa baba...and the vice versa.

The best thing unaweza kufanya kwa sasa, ni kuendelea kuwa motivated zaidi katika kuyafanya hayo aliyoya aspire kwako.

Hiyo ndiyo namna bora ya kuenzi maisha yake ya hapa duniani.

_________________________

Niamini mama mtumishi, ntakuona & utaniona. Ubarikiwe sana [emoji1374]
 
Ah alikuwa akianza kumwaga zile sifa[emoji847]acha kabisa[emoji4],,unaweza hisi upo ulimwengu mwingine.

Huyu Mungu [emoji25][emoji120][emoji120]
Anyway...



Sawa Mtumishi, Nina hakika hautaniangusha[emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu akutunze [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

I feel you mtumishi mwenzangu. Pole sana.

Sina wasiwasi wowote kwamba Mungu ana plan nzuri tu ya kukutoa hapo.

Anatuwazia mema, always...si unakumbuka hili? Mema yanakuja.

___________________________

Naaam naam.

Huo ndio ukweli. Hujafanya kosa kuniamini katika hilo.

Amen mama mtumishi. Malaika wa Bwana wakutunze na kukulinda.
 
Anatuwazia mema[emoji4][emoji120]
Na mema yanakuja[emoji120]
.
.
.



Amen , akhsante baba Mtumishi [emoji120].
Mungu wangu akubariki mno .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…