Hakika
Kweli Kuna mambo bado sijamfanyia Mungu...ni lazima niyafanye hayo Kwanza kabla sijaondoka.
Ngoja nijaribu kujikaza..
Sema na ulast born unachangia
,aliyebaki analialia ni mimi tu.
.
.
.
Baba Mtumishi umeamua kunipoza kwa maneno ili usinipe picha..
Sasa utaweka lini jamani!
Neema ya kuona ipo leo ujue.