Selfika na JF: Snap it. Show it

Utamuona, lakini mpaka muda wa Mungu ufike, ambao ndo muda sahihi zaidi.

Just stay strong and positive.

Mtumishi mwenzangu huwezi kukufa kabla mimi pia sijakuona. Mungu hataruhusu hilo.

I can bet my father's house kwenye hili [emoji846]
 
Dah, Yaani ingekuwa inawezekana ningemshawishi tu Mungu afinalize mambo yaishe.

Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Namuamini sana Mungu,ila wacha niugulie haya maumivu hadi yatakapopoa.

Mtumishi si unajua kama kifo huja kama mwivi??
What if nikachomoka hapa,sijaona picha[emoji38],,,nyumba unayoweka rehani sitaifaidi.

Hebu fanya kuhurumia tumbo langu Mtumishi,limengoja mno.
Pls baba Mtumishi [emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…