Nimezichek tano hapoTime for the movie.
View attachment 1842738
Dah haya kipenzi nimekubaliNi maisha tu kipenzi changu yanafanya tupotee kwa hewa
[emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh, vipi bibi hayupo?Nimechambwa na njaa yote hii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2984][emoji2984][emoji2984]
Ajali imetokea wapi na lini?Wapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.
My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Sijaona mbna.Sometimes.
Kuna namna maandishi kwenye khanga yanabeba jumbe zinazofariji[emoji25][emoji120]View attachment 1843345
Mpe pole Sana and get well soonWapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.
My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Pole sana kwakeWapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.
My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Pole sana kwake
Mpe pole Sana and get well soon
Mungu amponye majeraha haraka [emoji120]
Maumivu ni makali lakini Mungu huganga yote[emoji120][emoji120]
Pole sana kwake.
Zimemfikia wapendwa.🙏🙏 Shukrani sana...Dah... Mfikishie pole zetu nyingi sana..
Duaa zetu zipamoja nae.Wapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.
My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Kenda kula bata[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh, vipi bibi hayupo?
Mbona umekubali kinyonge sanaDah haya kipenzi nimekubali
Mbona umekubali kinyonge sana
HahahahaMbona umekubali kinyonge sana
Mzima lakini kipenzi changu..🤸♀️🤸♀️🤸♀️Hajah
Hahahaha
Sogeza vocha karibuHinnah [emoji1558]View attachment 1843968
Mzima kabisa kipenzi sijui wewe huko ulipoMzima lakini kipenzi changu..🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Allah ampe shifaa.Wapendwa.... Kwa taarifa zilizonifikia siku ya leo ni kwamba mwana selfika mwezetu ndugu T 1990 ELY alipata ajali jana jioni, hajavunjika ila amepata majeraha mengi tu.
Tumuombee mwenzetu Mungu wa mbinguni amponye haraka.
My prayers on you. Get well ASAP T 1990 ELY
Mimi niko salama kabisa kipenzi changu namshukuru MunguMzima kabisa kipenzi sijui wewe huko ulipo