Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie si ndio zenu hizi, mpare mwenzio huyo.
Babuuh afu muheshimu mjukuu mkweo, uwage na adabu utarudisha mali zake ulizopokea ooooh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechambwa na njaa yote hii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2984][emoji2984][emoji2984]
 
Kwa wale wasiokuwa na cheti cha kuzaliwa pale sabasaba jengo la Rita nenda na barua ya serikali ya mtaa au kitamburisho cha mpiga kura na elfu 10000 unapata cheti chako hapo hapo waambie na watu wengine[emoji1666] ni ofa
 
Dah... Mfikishie pole zetu nyingi sana..
 
Mungu amponye majeraha haraka [emoji120]
Maumivu ni makali lakini Mungu huganga yote[emoji120][emoji120]

Pole sana kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…