Tayari umeshawafunga.. Kilinge kimeridhiaRefa kapuliza kipenga ni penati.
Wakuu kesho nitapiga penati moja muhimu sana katika maisha yangu.
Ni penati ngumu sana, maana itakuwa inazuiwa na makipa wasiopungua 6.
Maombi yenu wakuu niwafunge hawa makipa.
Asante brother [emoji120]Karibu tena jukwaani na pole kwa yote
[emoji110][emoji110]Mabena anakuja kwa kasi sana kama NFS.
[emoji23][emoji23][emoji23] viungo vya bibi huvionagi? Au huwa unaziba macho?Sitaki kuona viungo vya watu mjukuu[emoji1] umri umeshasonga
[emoji23][emoji23][emoji23] huishiwagi maneno kabisaah wee.Huo mpaja na vinyweleo vyake nimeupenda bure kwa kweli
Habari za asubuhi mkuu
Samaki huyo tyuuh [emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni [emoji3059]
View attachment 1824784
Mazingira mazuri na yanavutia. [emoji7][emoji7]
Unajua Mkwepu Jr niliwahi kumuona Kigamboni. Alivaa jezi ya Simba na kibaraghashia kichwani, anaonekana mtu wa amani sana na mtulivumkwepu jr plz sema neno moyo wangu upate kupona.
Jaman anaonekana mstaarabu na ana hekima huyu kaka, tangu nijoin humu, hajawahi kusema chochote, sasa leo namuomba aseme moyo wangu upate kupona.Unajua Mkwepu Jr niliwahi kumuona Kigamboni. Alivaa jezi ya Simba na kibaraghashia kichwani, anaonekana mtu wa amani sana na mtulivu
+1,Nazeeka sasa..cc Saint Anne plz tupia pic yako nikuone venye rangi adhimu ya chocolate [emoji7][emoji7]
[emoji4]Mazingira mazuri na yanavutia. [emoji7][emoji7]
Nimeonaaaa+1,Nazeeka sasa.View attachment 1825281View attachment 1825288
Ewaaaaaah [emoji7][emoji7] cc kipendhiiiih, tubadilishane rangi, napenda rangi hiyo mie.+1,Nazeeka sasa.View attachment 1825281View attachment 1825288
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwee matege yangu.Ewaaaaaah [emoji7][emoji7] cc kipendhiiiih, tubadilishane rangi, napenda rangi hiyo mie.
Matege yako nayo yanasadifu vilivyo [emoji23][emoji23]
[emoji4]Nimeonaaaa