Selfika na JF: Snap it. Show it

1. Kazi ngumu na hatarishi- Baba
2. Kuweka mambo moyoni (msongo) kuonyesha ubaba hata kama yanaumiza - Baba
3. Ikitokea vita, anayeenda vitani - Baba
4. Ulevi wa kupindukia na hatarishi kwa kinachodhaniwa kupunguza stress - Baba

5. Safari nyingi/za mara kwa mara na ndefu ambazo huongeza risk - Baba

6. Anapotembea barabarani na wife, au hata na mtoto hukaa upande wa magari kumlinda mama/mtoto -
Baba
7.Majambazi wakivamia home anakuwa mstari wa mbele kupambana - Baba

#MaskiniBaba
 
🀣🀣🀣yan mtu umelipia chumba 15k, wanaogopa utakimbia na ndala za 2kπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Yaani kwa kweli wanatuonea sana wateja wao, imagine unatoka room yako unakwenda duka la jirani kufata mahitaji na ndala za namna hiyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ™†
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…