Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,419
Asante sana mkuuTANZIA - MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo
Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa...www.jamiiforums.com
Mungu awatie nguvu na akawe faraja kwao.. Pole sana mpendwa Saint AnneWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Mwanaume gentleman asivaa cadet atapendezaje! Ntavaaje nguo imebana kama kijanaHebu weka bas na wee lol, sema uachage kuvaa cadet inayopwaya kidogo, inatakiwa ibane bane
Pole sana mchumba Saint Anne kwa matatizo. Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu. I am praying for u babeWapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Mungu amtie nguvu katika kipindi iki kigumu ...Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Wapendwa wana selfika, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe.
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA. Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.
C.c Karma Mshana Jr billdrago Gerald incredible [USER=157962]Espy Chakorii Makiseo Eli79 T 1990 ELY cocastic SHIMBA YA BUYENZE @Jojoline mshipa Chick Magnet mkwepu jr sawima BIN NUN donlucchese Roger Sterling Depal financial services Doon moudgulf Bujibuji Emmanuel Kasomi usser The Monk Behaviourist Nuzulati Mjep Shunie
(Mentions zinaendelea)
Hujaachaga tu ukorofi wako?Hebu tuonyeshe mower ulioitumia
Navipataje? Price je? Pls!Hujaachaga tu ukorofi wako?
Ili ukate nyasi vizuri hivyo unahitaji vitu vinne:
Lawnmower
Weed eater
Edger
Leaf Blower
View attachment 1802928
Chai gani hii Rukia?
Hahahaha, zikiwekwa tu kuna watu wanatembea nazo kisha wanazilanguaKiukweli toka nimeanza kuyaona haya mabox cjawai kubahatika kizikuta, sa sijui huwa ni mapambo tu or
View attachment 1803091
Decent lawnmower (6.5 HP) = $300+Navipataje? Price je? Pls!
Hiyo edger ndio ushamba jinsi ya kutumia.umeyakata vizuri sana. Hiyo weed eater inajuaje kama hii ni weed au sio weed..usije kuta ikakula majani yenyewe maana 😁Hujaachaga tu ukorofi wako?
Ili ukate nyasi vizuri hivyo unahitaji vitu vinne:
Lawnmower
Weed eater
Edger
Leaf Blower
View attachment 1802928
Decent lawnmower (6.5 HP) = $300+
Weed eater = $ 100+
Edger = $100+
Leaf blower = $100+
Nadhani kwenye maduka ya vifaa vya kilimo unaweza kupata japo sina uhakika. Jaribu kuulizia ulizia...
Hiyo edger ndio ushamba jinsi ya kutumia.umeyakata vizuri sana. Hiyo weed eater inajuaje kama hii ni weed au sio weed..usije kuta ikakula majani yenyewe maana