Kule kwetu upatikanaje wake mrahisi, yaan vipo vingi sana, shangazi angu huyo yeye ndo fundi wa kutengeneza hadi kupika sasa,Huku upatikanaji wake ni wa tabu mno.
Umkute fundi anayejua kupika vizuri yaani utaenjoy[emoji39][emoji39]
Nitakuja Songea kuchimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaaa????
Nitakaribia aiseeKule kwetu upatikanaje wake mrahisi, yaan vipo vingi sana, shangazi angu huyo yeye ndo fundi wa kutengeneza hadi kupika sasa,
Karibu ukachimbe kikande kwa afya. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanya wa juu
Nadhani nao watakuwa hivyohivyo .Mwanya wa juu
Na wenye mwanya wa chini wapoje mkuu?
Sawa
Ama kwa hakika kuna miili haina shukrani..misosi yote ile?
Siku behaviourist mzee wa chura atakapoweka..yeye ndo rolimodo wangu.
Hahaha....we jamaa bhana.Ama kwa hakika kuna miili haina shukrani..misosi yote ile?
Bishop Joshua Maponga big up your self maan.
Alishaweka.Siku behaviourist mzee wa chura atakapoweka..yeye ndo rolimodo wangu.
Vizuri sana kama ni kwema mkuu