Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimodiwe.
Pole kwa CNMS, ndugu jamaa na marafiki.
Wote Safari yetu ni moja japo kwa nyakati tofauti.
Tujitahidi Kuishi vyema na watu..
Siku moja mtu atatamani arudishe muda nyuma ili tu apate nafasi ya kuongea na mtu ,lakini haitawezekana tena tena kwa kuwa ameshakwenda.
Sent using
Jamii Forums mobile app