Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ndiyo
Mimi hayo yote nilishayapima.
Mgiriki anaongea simple tu,hajawaza kuhusu matokeo yake itakuwaje[emoji23]
Ni aidha upate faraghani,akikupenda ukiwa faraghani hii haitakiwi,labda km ataingia faraghani na hata akiingia bahati ya kukuoa inaweza isimuangukie[emoji1787].
Ama mtoke wote huku nje muingie faraghani mkiwa mmeshaoana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kule nitarudi mazima,naenda kutubu rasmi.yote heri tuu ila uludi ndani... Nikija mbeya na nakufata[emoji23][emoji1787]
Mwenza rafiki hizi story tunapiga vizuri tukiwa pamoja nakupa mifano kama yote..Hamna bana, mahali nilipo ni sahihi sana kwa afya yangu ya roho, nafsi na mwili. Sina hata wazo la kuhama, bila hata ya Baba Mchungaji
Mimi huwa napenda kutathmini mambo kabla sijafanya maamuzi.Hahahhaha dogo kumbe umeshapiga mahesabu yako makali, ndiyo maana hutaki kurudi sasa hivi mweeh
Mwenza rafiki hizi story tunapiga vizuri tukiwa pamoja nakupa mifano kama yote..
Ila kama nilivyosema uwe uwata, uwe sehemu nyingine as long hakuna sehemu wanahubiri ukatende dhambi upo sehemu sahihi kikubwa kufika mbinguni
Mimi nitarudi tu lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yote heri tuu ila uludi ndani... Nikija mbeya na nakufata[emoji23][emoji1787]
Ahhaa daah, haya subiri basi umpate mtu wa maana kwanza then ndiyo utajua ufanyajeMimi huwa napenda kutathmini mambo kabla sijafanya maamuzi.
Huwa napiga hesabu zangu vizuri.
Unakuta naingia tu,halafu huku nje anatokea mtu wa maana[emoji16]
Sasa sijui unaanza kurudi tena nje[emoji1787]
Inakuwa kumchezea Mungu Sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna true love sijapata kuiona popote.[emoji23][emoji23]hicho ndo kinanifanya niludi ule upendo naukumbuka sanaa
Yaani ukisema hivi bado changamoto hazizuiliki..Ahhaa daah, haya subiri basi umpate mtu wa maana kwanza then ndiyo utajua ufanyaje
Yaani ukisema hivi bado changamoto hazizuiliki..
Haya umempata,,alikukuta hivi,halafu anakuta baadaye wewe umeanza marinda yako[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo
Mimi hayo yote nilishayapima.
Mgiriki anaongea simple tu,hajawaza kuhusu matokeo yake itakuwaje[emoji23]
Ni aidha upate faraghani,akikupenda ukiwa faraghani hii haitakiwi,labda km ataingia faraghani na hata akiingia bahati ya kukuoa inaweza isimuangukie[emoji1787].
Ama mtoke wote huku nje muingie faraghani mkiwa mmeshaoana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Mkuu 🙏Hongera
Aaah sawaa utanambia ukiludiMimi kule nitarudi mazima,naenda kutubu rasmi.
Ni dunia tu inasumbua..hasa katika hii rika,naona kama nikiingia ghafla nitajiwekea mtego[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne anazunguka aludi tuu alafu akawe serious kama atawaza vitu kama hiviAhhaa daah, haya subiri basi umpate mtu wa maana kwanza then ndiyo utajua ufanyaje
😀daah eti amazingNi mtihani kwa kweli. Ila kama una mpango wa kurudi, rudi tu: utachaguliwa mume amazing
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mtihani kwa kweli. Ila kama una mpango wa kurudi, rudi tu: utachaguliwa mume amazing
Kwa umri wangu nitawaza tu Chief [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saint Anne anazunguka aludi tuu alafu akawe serious kama atawaza vitu kama hivi
Wewe kama unarudi rudi tu[emoji1787]Aaah sawaa utanambia ukiludi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitarudi tu.
Ila kule wadada tunafanyishwa betting[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fata utaratibu sasa...