Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiwa na mzigo mkubwa ni tatizo..
Lakini huwa yanakaa tu vizuri.


Uzazi wa mpango ni dhambi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezaliwa tu huko ila nipo huko kama sipo

Naogopa kuingia mazima aisee,najua nitashindwa baadaye.

Ni watu wazuri Sana,wapo siriasi na Mungu Sana na nguvu za Mungu zipo Sana..ni moja kazi ya fellowships zenye nguvu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo..
Mizigo na shimizi hivyo hivyo

Ila vijana wanavaa shimizi zile zenye Bra zinasaidia.
 
Aaah kumbe kutubu ni kama kupata kipaimara.

Hiyo system ya kutodate inasaidia sana kizazi hiki kilichokengeuka. Sio mtu mmoja humohumo kanisani ana mahusiano na watu kibao. Ila ukute sasa kuna kamtu unatamani Bwana aseme naye juu yako, afu unakuja kuletewa mwingine daah; ndiyo mambo ya rohoni sasa


Kuna harusi niliwahi kuiangalia kwenye "My Perfect Wedding South Africa". Na wenyewe nafikiri wana utaratibu kama huo, ingawa sikumbuki walikuwa ni dhehebu gani. Mkaka alipeleka maombi ya uchumba, siku majibu yaliporudi mdada akaitwa tu kwamba yeye ndiye aliyeonekana kwenye maombi. Baada ya hapo ni hakuna kuonana, wala kubadilsihana namba za simu, kukiwa na la msingi la kuwafanya muonane, mtaunganishwa na mtu wa kuheshimika, na mtakutana na yeye akiwepo imetoka hadi ndoa.
 
ukiokoka okoka kila kitu... 😂

Mavazi sio shida ila shida nazani unaielewa...
 
Shida inaminya Uhuru wa wadada
At least miaka hii wakaka wanajipenda wanapendeza,miaka ya nyuma wanaweza kubambikia mtu hata hujamuelewa.
Ni utaratibu mzuri hasa kwa hiki kizazi chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiokoka okoka kila kitu...


Mavazi sio shida ila shida nazani unaielewa...
Yaani mavazi si tatizo kabisa yaani..
Nimevaa hadi mabaibui,sembuse marinda tu!
Ila tu Kuna shida kwa kweli masharti yetu kule ni ngumu mno aisee


Hasa mambo ya kuja kuchaguliwa mtu aisee..ni changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…