Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanakondoo ameshinda??
Unasali ushirika upi madam? Karibu ushirika wa Yerusalem,airport ya zamani
Tumfuate


Yerusalemu miaka ya nyuma tumesali sana hapo faraghani(uwata)

Nitakaribia mkuu,tuombe uzima.
Ikimpendeza Mungu J2 hii.

Kwa hapa town napendelea kusali usharika wa Nzovwe na Mbeya mjini kule sokomatola.

Pia napendelea kusali Pentecostal Churches,wenzetu wapo mbali sana kwenye maswala ya kusifu,kuabudu na maombi.

Mara mojamoja naenda Roman Catholic kulekule Mbeya mjini ile parokia(Mtakatifu Antoni wa Padua) ya Rufaa pale..
Wenzetu RC wapo systematic sana kwenye ibada zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Looh moravian hata silijui nimeliskia leo jina lingine labda ?
Anyway, naona unajitahidi sana kumcha mwenyezi Mungu hakika inapendeza sana hongera.
Hapo upate Mume wa namna hio sasa utamu kunoga
Hajawahi kulisikia??
Ni makanisa ya CCT ama niseme ya kiprotestant..mf Lutherani (kKKT),Moravian(KMT),AIC,Anglicana na mengine mengi yaliyopo CCT.
Kishuleshule huwa wanaita UKWATA.

Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu,na wenye nguvu ndio watakaouteka.

Pia sehemu nyingine Neno linasema mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote,wa nguvu zako zote na kwa akili zako zote.
Sometimes inabidi kutumia nguvu kufanya mambo.

Duniani si kwetu..muda wowote tunaondoka.,
Tunapaswa kukaa tayari na kujiandaa maana muda tusioujua tunaweza kuondoka.
Mungu anatupa nafasi ya kuongea naye,kuomba Toba na kuomba yote tuyatakayo..hatuna budi kuitumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo tulia kwa Bwana
Kiini cha raha yako
Una njia mbili tena
Yesu ndiye njia yako
 
Wewe kasema usharika wa Yerusalem morovian.. Sio yerusalem Uwata... Anyways ulikuwa unaenda faraghani zamani??😎
 
Kumwimbia bwana tenzi za rohoni huku unapiga vyombo ni kumkufuru.Achana na mambo ya kupiga vyombo kwanza!😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…