Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Nakushauri hamia Yanga kwa muda.Hi siku ni special sna aiseee keki jioni na baada ya kupata ushindi wetu....hakuna kama SIMBA[emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 1777312
Mimi matarajio yangu makubwa nimeyajenga kwa Mungu tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifanya hivyo unalinda moyo wako usiumie pale mambo yakienda sivyo
Binafsi ni watu wachache tu ndo nimewekea exceptations , Hao wengine sijali hata .
Hi siku ina neema saint I promise simba tukifungwa nidai teniNakushauri hamia Yanga kwa muda.
Leo simba wanachakazwa,siku yako itaharibika.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Oh sawasawaHi siku ina neema saint I promise simba tukifungwa nidai teni
Basi najisikia kuzima tyuuh.Halafu?[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
Enjoy ur dai, [emoji7][emoji7][emoji7]Birthday girl[emoji512]View attachment 1777039
Aiseeeeeh hapo safi.Hiyo miziki nimeisikiliza sana aisee miaka hito ya 2000..
Kaka zangu,mmoja huyo alikuwa anapenda hiphop,yaani basi atawasikilizisha weee aidha mnapenda au hampendi..yeye anawasha redio sauti kubwa kama tuko club.
Huyu mwingine alikuwa anapenda nyimbo za kuimba imba na za huko mamtoni...kila akiweka ananiita nimuangalie anavyocheza(anajua sana kucheza)
Nikajikuta hizi nyimbo nazijua sana automatically.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hongera sana chimamy, 26 sio haba.Hahahhaha for me 26 kamili mungu anijalie nifike uzee[emoji2969][emoji2969]
Thank you baby[emoji175]Enjoy ur dai, [emoji7][emoji7][emoji7]
Yeah tunazidi kuzeeka tu jmnHongera sana chimamy, 26 sio haba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda 34 - 10 = 24.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mzee wa chura acha kumshusha babe wangu.
Mchumba wangu ni HB jamani acheni kabisa[emoji119],hebu tafuta picha inayoendana na yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Woyooooooooooooh nakuja kula [emoji513][emoji513][emoji513]Hi siku ni special sna aiseee keki jioni na baada ya kupata ushindi wetu....hakuna kama SIMBA[emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 1777312
[emoji3590][emoji3590]
Kabisaaah yaaanYeah tunazidi kuzeeka tu jmn
[emoji7][emoji7][emoji7]Thank you baby[emoji175]
Hatimaye mpendwa umepost[emoji7]
Safi Sana[emoji7]
Dogo achana na hesabu za kuassume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda 34 - 10 = 24.