Tizainuka na nyemi kangi tizagosha vitana. Taakutogola iwe Tate mwena mbazi kangi una viugho na mbazi zako nizakale na kale, amini.
MKALIMANI1
Timeamki tukiwa na furaha kwa sababu tulilala vyema. Tunakushukuru Baba mwema kwa sababu unahekima na huruma zako ni za milele na milele, amini.
MKALIMANI2
We are cheerful this morning as we had wonderful sleep.
We thank you Lord for your wisdom and always merciful, amen.