Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Kule nyuma unakuta mtu anakaa seat ya watu wawili,amejitanua Kama yake pekeyake..hata ukienda kukaa hajiongezi kukaa vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu wallah
Ana chura?Dah, nishapenda 👌
Selfie ziendelee[emoji23]Sawa bhana... [emoji23]
Hehe, alafu uongeze na zile salad zako! 🤣Ana chura?
🤣🤣🤣Hehe, alafu uongeze na zile salad zako! 🤣
Zije na baraka kabisa! 🤣Selfie ziendelee[emoji23]
Aseeeeh bas una nywele nzuri mno, tena usitie wave inapausha nywele ikizidi San utumiaji wake,Sijatia chochote..
Nimeitia tu mafuta ya kutosha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]nikatembeza na brush.
Nilitaka niweke wave wananiambia niache tu hivyohivyo zinapendeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikua hujui? Siku hizi muonekano tyuuh, Ndo maan na ndoa nyingi saiv utasikia "tulikutana nje ya bank"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe bank siku hizi mikopo ni ya michezo namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji1787]
Seat ya dirishani ni sawa, mie ndo napenda nikae hapo.Kule nyuma unakuta mtu anakaa seat ya watu wawili,amejitanua Kama yake pekeyake..hata ukienda kukaa hajiongezi kukaa vizuri.
Hivyo vitu huwa vinanikera Sana...ili kuepuka kero ni aidha nikae mbele ama nikae nyuma seat ya dirishani.
Bichwaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo
Bichwa langu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bichwaa??
Mmmm tema mate chini, hujaona vichwa wewe
Sasa nikikaa mbele nakuwa pekeyangu na dirisha lipo pembeni [emoji847]Seat ya dirishani ni sawa, mie ndo napenda nikae hapo.
mungu[emoji777]Hahahah tutapona mfalme wangu mungu Ni mwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulikua hujui? Siku hizi muonekano tyuuh, Ndo maan na ndoa nyingi saiv utasikia "tulikutana nje ya bank"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39]
Wallah hivi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniambie[emoji2960]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Full kupepea hapo, [emoji4][emoji4]Sasa nikikaa mbele nakuwa pekeyangu na dirisha lipo pembeni [emoji847]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wee usinambie[emoji2960]Zije na baraka kabisa! [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana chura?