Selfika na JF: Snap it. Show it

Alisumbua sana.akijiona kiranja wa wachomoa betri.
Na kusema sisi ni wabovu.
Yaani mpaka nisahau hiki kituko alichotupostia sio Leo wala kesho[emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo kiuno kimechelewa kutumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya juzi ipo Kama ya kisomali hivi waliiona!?[emoji2956]

Hannah dadangu kwa heshima yangu naomba unyamaze please[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…