Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Wapost vyakula wanatubania.Kuna vitu adimu sijavitia machoni mda kidogo, vipi jamani mbona hivi! Sisi wengine tunashiba kwa kuona tu[emoji23][emoji23]
Hizo nywele!Michael and his sister Janet 1972.View attachment 1771605
Ongeza sauti hajakusikia Lee@Saint Anne nakusalimia
Utambe, tena wewe nikikupendelea sana utakuwa rika la mjukuu wangu wa mwaka 1999 ππππ»Aisee
Dunia inakimbia!
Yaani mm na uzee wangu wote nawekwa kundi la watoto kweli[emoji2296]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Angalia usije niua kwa BP we binti ππππ»Siku moja tu unakuja kuacha fuko la hela unarudi ulikotoka siku hiyo hiyo
Mbona Mimi nachati na Wajukuu zangu akina nyie ππHafu nyie mnatuchukulia kuchat chat huku JF tunaonekana watoto eeeππhatari sana
Hivi juzi si ndiyo nilikuomba univushe barabara nikiwa na Mkongojo wa kutembelea, acha masihara na Mimi Babu yako π π ππππ»Weee mtoto[emoji32][emoji32][emoji32]
Kufwa hukufwi ila cha motto lazima ukione babu penshenAngalia usije niua kwa BP we binti ππππ»
Sawa babu pensionMbona Mimi nachati na Wajukuu zangu akina nyie ππ
AiseeUtambe, tena wewe nikikupendelea sana utakuwa rika la mjukuu wangu wa mwaka 1999 [emoji12][emoji12][emoji1322]
Fred Vunjabei atakuwa hana hizo kweli....Wanaojua machimbo ya hizi surual za kitambaa naomba wanipe direction.kwa darView attachment 1771608
Mbona unataja umri wakoπ ππAisee
Kumbe ulikuwa unafanya wrong assumption.
Mtoto wangu wa kwanza ni wa mwaka 93.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mimi naona kwa msaada wa miwani,bahati mbaya imemeguka.Mbona unataja umri wako[emoji28][emoji87][emoji85]
Jumapili naomba utanisaidia kusoma Zaburi 23 kwenye somo la kwanza, Macho yangu yameanza kupoteza uono kutokana na Uzee [emoji12][emoji12][emoji1322][emoji1322]