Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Maskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.Kweli hatujui tunataka nini.
Ila sio mbaya dear kunywa maji mengi utakaa sawa tu
nduguSaa 10: 45
salamam zikufikieMaskini aiseh pole CM Hivi kumbe hata nyie mapenzi yanawasumbuaga ee..pole aiseh.ila na sisi wanawake jaman tunatolea wapi ujasiri wa kumtesa mtu kama ChickMagnet jamani na muonekano huo mzuri mzuri..au labda pesa yako imeshikana na roho uchunwi kirahisi.π€π€π€Kweli hatujui tunataka nini.
Ila sio mbaya dear kunywa maji mengi utakaa sawa tu
Ni maneno yapi hayo 36?Maneno 36 tu kwa mujibu wa biblia ya kiswahili yaliyotamkwa na Shetani almaarufu Ibilisi yalitosha kubadili mpango wa Mungu dhidi ya wanadamu.
Na kumfanya Shetani kuwa moja ya kiumbe kuwahi kufanikiwa zaidi katika matumizi ya maneno.
Shetani anatukumbusha ili mtu aweze kufanikiwa lazima ajifunze kutumia maneno kwa usahihi ili kupata thamani.
Shetani pia anatukumbusha kuwa na uwezo wa kuongea haina maana kila neno unaloongea ni sahihi na lina thamani.
Shetani pia anatukumbusha kuwa na uwezo wa kuandika haina maana kila neno unaloandika ni sahihi na lina thamani.
Shetani mwisho anatukumbusha tuache kuongea na kuandika vitu visivyo sahihi na haviongezi thamani.
Watu wengi tumekwama kwa sababu tunaongea na kuandika takataka sana..
Unafikiri hata naelewa basi mama mchungaji....WoooooiiHivi hapa ndiyo unampa mtu pole ama?
Hujambo Lee..ππsalamam zikufikie
Mwanzo 3:1- Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? (12)
Mwanzo 3:4- Hakika hamtakufa (2)
Mwanzo 3:5- kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya. (22)
Unafikiri hata naelewa basi mama mchungaji....Woooooii
View attachment 1767894
Miaka yangu 78 imefanya akina Saint Anne , Heaven Sent wasinipokee stendibora nirudi Zanzibar tu, huenda Chakorii this time akanipokea manake pension yangu imetoka jana
Tusameheni tu jamani maisha yanatupeleka kasi sana .Yaani wewe
Nimeshangaa napiga simu yako haipatikani, roho imeniuma kumbuka hapo nipo stendi mgeni miye π πππ»Jamani mimi mnyaki na ukarimu wangu wote, naanzaje kutompokea mgeni stendi?
Wow..kumbe umepokea pension..karibu.haki unakaa mzuri ujue wewe hbView attachment 1767894
Miaka yangu 78 imefanya akina Saint Anne , Heaven Sent wasinipokee stendiπ π bora nirudi Zanzibar tu, huenda Chakorii this time akanipokea manake pension yangu imetoka jana πππ»ππ»
Maskini jamani unatia huruma lohNimeshangaa napiga simu yako haipatikani, roho imeniuma kumbuka hapo nipo stendi mgeni miye π πππ»
Nipo njiani, nakuja mgeniiNimeshangaa napiga simu yako haipatikani, roho imeniuma kumbuka hapo nipo stendi mgeni miye π πππ»
Ndiyo dear, nimepokea jana. Kwahiyo nije Zanzibar utanipokea??Wow..kumbe umepokea pension..karibu.haki unakaa mzuri ujue wewe hb
Sawa jirani, nakusubiri hapa stendi ingawa kabaridi kakali balaa πππ»ππ»Nipo njiani, nakuja mgenii
Bora nije kwako jirani, huku nimeteseka mno Ila hala hala pension yangu usiimalize πππ»ππ»Maskini jamani unatia huruma loh
Tulia tu huko huko..huku tuko buzy na mfungoππNdiyo dear, nimepokea jana. Kwahiyo nije Zanzibar utanipokea??
Sasa umechagua unaenda kwa mama mchungaji Tukuyu sijui Uyole au unakuja Zenji yakheBora nije kwako jirani, huku nimeteseka mno Ila hala hala pension yangu usiimalize πππ»ππ»