Njoo tusome kitabu cha Wimbo uliobora kutoka kwa mtunzi mashuhuri, Mfalme Sulemani ππππ»ππ»Hakika siwezi kuchakaa maana Tenzi na Rohoni na tumwimbie bwana zimebeba jumbe ambazo hutoa furaha nyakati zote.
Subiri tumalize mfungoNije lini?[emoji12]
Usinifanyie hivyo jirani, ujue tumetoka mbali jirani πChief kule haruhusiwa mtu kuingia
Suleiman alikuwa mwenye hekima sana lakini cha kushangaza wanaume mmecopy tabia mbaya tu kutoka kwa Suleiman.Njoo tusome kitabu cha Wimbo uliobora kutoka kwa mtunzi mashuhuri, Mfalme Sulemani [emoji85][emoji85][emoji1322][emoji1322]
Kesho njoo Mwanjelwa tuimbe wote, nina sauti nzuri ya nneπππ»Suleiman alikuwa mwenye hekima sana lakini cha kushangaza wanaume mmecopy tabia mbaya tu kutoka kwa Suleiman.
Nataka Tenzi za Rohoni;Ni sikukuu
WeeeeKesho njoo Mwanjelwa tuimbe wote, nina sauti nzuri ya nneπππ»
Kwani si suna nasikia wageni kushiriki futari pamona na wenyeji...unichore tu nikiwa napiga uji wa pilipiliSubiri tumalize mfungo
Night vibe
Ankal ni wewe huyo!?Kumbe bila lipgloss inawezekanaView attachment 1765659
Yes education is better than money but money is everything[emoji3]View attachment 1765667
View attachment 1765683
Debate:
"Education is better than Money"
[emoji23][emoji1322]
Ankaliiiiiiii.....Ankal ni wewe huyo!?
Upendo ni jambo jema
Mwanjelwa kwenye kanisa gani?Kesho njoo Mwanjelwa tuimbe wote, nina sauti nzuri ya nne[emoji87][emoji1322]
Kanisa la the .......ministryMwanjelwa kwenye kanisa gani?
Kanisa halina jina??Kanisa la the .......ministry
Ukija nitakupa code, but I hope you are going to enjoy the service [emoji85][emoji87][emoji1322][emoji1322]
Ukiambiwa uchague side yako hapoYes education is better than money but money is everything[emoji3]
Hili joto ninalohisi na presha ya kupanda na kushuka ninayohisi asubuhi hii ni ya aina yake toka nizaliwe..
Text zangu zimefumaniwa! π
Kama text tu zinanifanya nihisi kama niko Jehanam, najiuliza ningefumwa kwenyewe ingekuwaje?
Uhuni sio deal Wakuu, mbona mateso kiasi hiki!
Nirudi zangu porini mie nikaishi kwa amani maana nahisi kusakwa.
Kweli wewe ile zawadi itakufaa, muda wote huo upo kwenye viunga vya kanisaππ, muda wa kuvunja mifupa ndiyo huu jirani, nitapita kukuchukua twende ukavunje mfupa wa bata kule mtaani ππππ»ππ»Kanisa halina jina??
Halafu huwa siendi makanisa ya vichochoroni..
Njoo Parokia ya Mtakatifu Antony wa Padua pale rufaa utanikuta.