Selfika na JF: Snap it. Show it

Chee chii choo chuu..[emoji1635][emoji1635]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Karma njoo umuone dada yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu na Khantwe hawatofautiani Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Karibu Ramadhan tufunge pamoja aise..

Umeona uoga wako sasa we nae umeondoka mapema..

Unahisi sijui kushika jembe eheee..sasa kwa taarifa ni kwamba nikishika jembe nakuwa Chakorii mwingine kabisaaaa
 
Unacheka sana na wewe loh!!ukimaliza kucheka ukanywe maji sasa maana mbavu hazitakuwa na ushirikiano na firigisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…