Hii lips inaongea mengii,enzi za ujana isingenipita hii.Kumbe bila lipgloss inawezekanaView attachment 1765659
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Kumbe bila lipgloss inawezekanaView attachment 1765659
Uzee ni hazina mkuu..hongeraHii lips inaongea mengii,enzi za ujana isingenipita hii.
"Mungu fundi"
ππmtakatifu hizo pigo za ushawishi mimi bado hujanipata mdogo wanguπ[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hebu pandisha pandisha hiyo picha.
Mimi nilikuwa nakuwa upande wa hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1765667
View attachment 1765683
Debate:
"Education is better than Money"
[emoji23][emoji1322]
Mweeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]mtakatifu hizo pigo za ushawishi mimi bado hujanipata mdogo wangu[emoji1]
You were lucky choosing that side.Mimi nilikuwa nakuwa upande wa hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilizipenda hela zaidi ila hadi leo hazinipendi.You were lucky choosing that side.
Mimi nilijidai napenda shule kuliko hela, juzi nikiwa mtu mzima nilifanya kikao na fedha kuomba upatanishi, I used to fool my self. Nadhani huenda nikasamehewa [emoji23][emoji85][emoji1322]
Usijali, nimeona kwenye bajeti 2021/2022 mmetengewa fedha za kuajiriwa. Hope Mama atatimiza hili, baada ya hapo utazishika mpaka uchokeNilizipenda hela zaidi ila hadi leo hazinipendi.
Hazina ushjrikiano na mimi kabisa[emoji856]
Mashallah
Asanteee, hongera pia kwa uzuri,naiona rangi asili ya mwafika.Uzee ni hazina mkuu..hongera
Hujambo mznz wewe..ππunapotea sna na wewe lohUsijali, nimeona kwenye bajeti 2021/2022 mmetengewa fedha za kuajiriwa. Hope Mama atatimiza hili, baada ya hapo utazishika mpaka uchoke
Utachonga Viazi ππMweeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi weka hata jicho,siku nikikamilisha kukusanya vipande vyote natengeneza picha kamili.
Amen..na iwe kama usemavyo Chief πππAsanteee, hongera pia kwa uzuri,naiona rangi asili ya mwafika.
Kama hujapata mume nakuombea Mungu akupe wakufanana na wewe.
πMashallah
Mzanzibara miye sijambo, Juzi nilikuja hadi kwenu ukanifungia vioo.Hujambo mznz wewe..ππunapotea sna na wewe loh
Mtu kwao anaju kuchaguaβΊπ
Chaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utachonga Viazi [emoji3][emoji3]