Hii comment kuna uzi nilishawahi kuisoma,sikumbuki uzi gani..yaani nilicheka sana.
Yaani nikitaka kucheka huwa nakuja jf.
Mchumba mm kubet sijui ila huwa naingia mzima mzima na vitenge,viatu,miwani yangu na maparachichi..najisomba mzima mzima
Sent from my SM-A105F using
JamiiForums mobile app