Bhana hii style inanivurugaga mno aiseh..mtu Akivaa sichoki kumtazama(ila afunge kifungo mpka juu kidogo sio kama hivyo).
ok ok wacha ipumzike kweliNitairudisha baadae kidogo lee Changu.
Ngoja kwanza ipumzike
ππ
Hapa katikati ulipotea kiaina..ok ok wacha ipumzike kweli
Mhh tukikutana itakua shida sasa[emoji848]Bhana hii style inanivurugaga mno aiseh..mtu Akivaa sichoki kumtazama(ila afunge kifungo mpka juu kidogo sio kama hivyo).
X kiburudisho wangu nilikuwa namchagulia hivi kila ikifika ijumaa mwishoe akazoea..loh
nilipotea kweli ila wanasemaga kikubwa uhai , ndugunyangu mzee wa chura alikuwa ananniwakilisha vyemaHapa katikati ulipotea kiaina..
Kwema lakini
Ukikutana na nani sasa J..
Hii style inakuviruga..na mm ndio style yangu...si nitakuvuruga[emoji23]Ukikutana na nani sasa J..
Na X kiburudisho au mimi.
Yap kikubwa uhai aiseh..nilipotea kweli ila wanasemaga kikubwa uhai , ndugunyangu mzee wa chura alikuwa ananniwakilisha vyema
niko salama salimini wkend ytu hii
yupo mzima , ndugu wa kipekee ma wa faida wa leeYap kikubwa uhai aiseh..
anko frog nae sijamuona kiaina ujue.nafurahi kukuona tena ukiwa salama
Huwezi kunivuruga kwa kuwa bado hujapatia styles zanguπππHii style inakuviruga..na mm ndio style yangu...si nitakuvuruga[emoji23]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Eheee ipo siku tutakutanaHuwezi kunivuruga kwa kuwa bado hujapatia styles zangu[emoji1][emoji1][emoji1]
Tuache masihara aise hiyo style iko mwake sana
yupo mzima , ndugu wa kipekee ma wa faida wa lee
Wacha bhana..usishangae siku nakushika mkono..hey brother ππhatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha bhana..usishangae siku nakushika mkono..hey brother [emoji2][emoji2]hatari sana
ππ
Ebu niulize na mm napenda nn avae mwanamke may tunamatch[emoji846][emoji41][emoji41]
Jack unapenda mwanamke avae nini...maybeEbu niulize na mm napenda nn avae mwanamke may tunamatch[emoji846]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
I love simplicity...just be natural...nadata kabisa...makeup na artificial things nah!Jack unapenda mwanamke avae nini...maybe
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukikutana na nani sasa J..
Na X kiburudisho au mimi.
Kho kho kho kho kho..99.98 βI love simplicity...just be natural...nadata kabisa...makeup na artificial things nah!
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app