Yaani hata mimi kuna wakati huwa najishangaa ila ndiyo nimejikuta tu nimezaliwa hivyo! Kwahiyo mwisho wa siku nikaona haya mambo ya mapenzi pengine labda siyo fungu langu wacha tu niwaachie wengine wanaoyafaidi!
Ujue unanifanya hadi naona aibu sasa ninavyojielezea