Selfika na JF: Snap it. Show it

Nashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.

Wiki hii nakula hovyohovyo tu boss,hata idadi sijui[emoji1787]
Njaa ikiniuma nakula maana yananipa pressure,yameiva kwa mpigo[emoji23]
Kuyaacha yaoze roho inaniuma Sana.View attachment 1754078
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee eti yananipa pressure yameiva kwa mpigo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee eti yananipa pressure yameiva kwa mpigo
Ongeza speed ya kula... [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi Sasa naona nimeshayashinda japo mnyukano ulikuwa mkali Sana.
Yamebaki matatu tu ambayo asubuhi nikiamua nayamaliza tu!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli hajakosea
Mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
Halafu sijui ni kweli maana hata mm mwenyewe sijielewagi Mara nyingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Isije tu kuwa kweli zilibaki Chimwaga[emoji1787]
 
Oh pole Sana mkuu[emoji26]
Nakuelewa vizuri Sana aiseee.

Ila nakushauri usijute kwa yaliyopita.
Yakubali,angalia mbele kwa ujasiri.

Ila hayo mambo ni kawaida kutokea,
Wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho kupitia hayo.
Mshukuru Mungu kwa yote na kubali halikuwa fungu lako .

Mungu hakupi unachotaka bali hukupa unachostahili.
Amani ya Mungu ipitayo fahamu zote ikuhifadhi[emoji120],Mungu akupe faraja na agange majeraha yako yote.
Akuinulie uso wake na kukupa amani.

Ukipata muda soma hilo hilo somo,
Nina imani Mungu atakwenda kuponya majeraha yako yote.

Mungu wangu akubariki Sana[emoji120]View attachment UPONYAJI WA MAJERAHA YA NDANI.pdf
 
Wewe ni Mungu juu ya miungu
Wewe ni BWANA juu ya mabwana
Ufalme Wako wadumu milele Amina[emoji119]
[emoji443][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nashangaa kuna watu wanakula bila chumvi.

Wiki hii nakula hovyohovyo tu boss,hata idadi sijui[emoji1787]
Njaa ikiniuma nakula maana yananipa pressure,yameiva kwa mpigo[emoji23]
Kuyaacha yaoze roho inaniuma Sana.View attachment 1754078
Daaah.. jaman si tualikane tu nije nkusaidie kuyavuna/alika majiran zako, au na kugawa inakuuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…