Chukua Kilimanjaro Hahahahaha kuhusu kuogelea wewe wakudumbukize kwenye Yale mapipa wanayopikia walau dk 5 u enjoy Ukitoka unabeba Kreti zako unasepaNipe namba yake nikifika nisihangaike[emoji23]
Nichukue bia gani?
Vipi hilo la kuogelea hujaliona?
Huu u decent niachane nao sasa unanicost...nitakufa singooAki ya nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile safari ya Matema ilishakufa?Chukua Kilimanjaro Hahahahaha kuhusu kuogelea wewe wakudumbukize kwenye Yale mapipa wanayopikia walau dk 5 u enjoy Ukitoka unabeba Kreti zako unasepa
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]hivi wewe mzima kweli?Huu u decent niachane nao sasa unanicost...nitakufa singoo
🤣🤣🤣🤣lweli uchumi wa mchana haufanani na wa jioniNdiyo
Siku hazifanani
Uchumi unabadilika[emoji23]
Na Hali ya hewa pia,...
Bi mdogo tena?[emoji134]Ngoja nimuite Chakorii aone bi mdogo anavyonifanyia. Hadi chakula cha usiku nanyiwa kisa nimeleta kilo 1 ya Nyama kwa bimdogo alafu nyumba kubwa nimepeleka kilo 2 [emoji134][emoji24]
Nipo kwenye depression Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lweli uchumi wa mchana haufanani na wa jioni
Ndo maana naona na nyama zmepungua hapo
HahaahaaahaDah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]hivi wewe mzima kweli?
Karma chukueni kijana wenu jamani[emoji1787]
Huyu jamaa ana Raha Sana ndio alituondoa mashindanoni [emoji3][emoji3]Bi mdogo tena?[emoji134]
Si tulikubaliana Mimi mume wangu ni Jack Palladino tu.
Mbona tulikubaliana huyo Jack unamwacha!😀 usijali Chakorii hawezi kukufanyia fujo 😜Bi mdogo tena?[emoji134]
Si tulikubaliana Mimi mume wangu ni Jack Palladino tu.
Hahahahaha kuhusu Kilimanjaro mabeberu wamesema if u don't climb it drink it,,,,,,, matema mpaka summer Anza Kujifunza kuswimIle safari ya Matema ilishakufa?
Ningeogelea huko hadi maji yanikome.
Nilijua tu utataja Kilimanjaro [emoji1787]
Nijifunze kuogelea Mara ngapi jamani!Hahahahaha kuhusu Kilimanjaro mabeberu wamesema if u don't climb it drink it,,,,,,, matema mpaka summer Anza Kujifunza kuswim
Ninaye huyohuyo aiseee.Mbona tulikubaliana huyo Jack unamwacha![emoji3] usijali Chakorii hawezi kukufanyia fujo [emoji12]
Alifanya nianze kwenda church ili kumvizia Saint Anne . Kwenye kukariri vitabu vya Zaburi ndiyo usiseme. Najua nitamshinda tu kwenye hili shindano 😀😀Huyu jamaa ana Raha Sana ndio alituondoa mashindanoni [emoji3][emoji3]
Nyie mlikuja kushindana wakati jamaa alishanipata tayari.Huyu jamaa ana Raha Sana ndio alituondoa mashindanoni [emoji3][emoji3]
Tushindane basi mkuu.Alifanya nianze kwenda church ili kumvizia Saint Anne . Kwenye kukariri vitabu vya Zaburi ndiyo usiseme. Najua nitamshinda tu kwenye hili shindano [emoji3][emoji3]
HahaaaaaahahhaahahaaNijifunze kuogelea Mara ngapi jamani!
Najua.
Yaani kila nikiona picha ya Kili nakukumbuka[emoji1787]
Kaka utapoteza resources tu huyo ashakwama hukoAlifanya nianze kwenda church ili kumvizia Saint Anne . Kwenye kukariri vitabu vya Zaburi ndiyo usiseme. Najua nitamshinda tu kwenye hili shindano [emoji3][emoji3]