herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
Sema hao wadudu hawanaga tabu na mtu, mpaka wamukudhuru utakuwa umewachokoza pamwishoKuna tu aliweka kenge kisha akatupia kifutu..
Chief nikakwambia ushaniharibia siku huku shambani ninakoelekea ma vifutu ni mengi..
Leo jamaa wanafyeka wameua vifutu wawili..
Nakupa ofa uje uchukue bureeee
View attachment 1752783View attachment 1752784View attachment 1752785View attachment 1752786
Ewaaaaa....anko frog asante sana..Chakoriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii![emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 1752942
Ngoja nikuamini tuone kama utashusga huo mguuUsimuamini huyo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiatu nimekielewa
Weeeeeeee....Haki ya Mama tena
Nasikia huko njia ni mbovu mnooMorogoro ni mpana umbali kutoka centre kwenda huko mahenge huko si mchezo, ukizingatia barabara halina lami ni tabu tupu..
Ila kuivuka moro kutokea pwani kwenda dom ni dk 0 tu.
🤣🤣🤣Ewaaaaa....anko frog asante sana..
Kwa style hii ninaahidi kukupenda daima🥰🥰
Ngoja nipike ugali sasa
Asante hata mimi guu lako la bia nalielewa.Kiatu nimekielewa
Ohooo kumbee..ni vyema sana.asanteAsante hata mimi guu lako la bia nalielewa.
Habari ya uzima mpendwaAbee @T 1990 ELY
Ngoja nikuamini tuone kama utashusga huo mguu
Habari ya uzima mpendwa
Siyo mimi wala wewe tu! Wengi wanamkubali kwa sababu wanadhani yuko hivo kumbe mweee fikajapo na fimo!Aiseee inaonyesha kiwembe mno[emoji40][emoji40]
Tofauti na nilivyomjengea picha.[emoji2094]
Uwii uzi Gani huoKuna Uzi nimekutag sasahivi
Hebu angalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi wawili, siku nikiweka picha yangu, mjiandae kutoka JF. Mna imani haba sana na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Guu la Taifa!Asante hata mimi guu lako la bia nalielewa.
Hahah Kwanini tusiweze bossHahaaaaaa... Seriously mnaweza kuzaa huku mnavuta sigara!!
Mkuu waongelee hivyo nyoka wengine ila siyo kifutu! Kifutu unaambiwa hasubiri eti umchokoze atakugonga hata kama huna muda naye na ukikimbia unajisumbua maana ana mbio kuliko binadamu yeyote yule!Sema hao wadudu hawanaga tabu na mtu, mpaka wamukudhuru utakuwa umewachokoza pamwisho
All in all nyoka ni nyoka tu