Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,533
- 235,284
Aisee wewe dogo unapitwa Sana.Mnawezaje sasa kula parachichi? Mie nikiona hata m2 anakula pemben napatwa na kichefu chefu. Aseeeeh
Asanteee,hapo tuko sawa.Yaani nilichomaanisha mimi ni hicho kwa maana ya uraibu.
Sijamaanisha ulevi wa pombe tu!
Hata mimi nina ulevi wangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe mwana utopolo fc [emoji1]
Wazee wa siku hizi mmechangamka.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Kwa nini wewe hupendi maparachichi na ukiona mtu anakula unahisi kichefu chefu au huwa unayafananisha na nini maparachichi yetu?
Yaani hii inanigusa kabisa yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaaah yaaan. View attachment 1751490
Nakuja kufturu japo sijafunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu nyumbani jioni ya leo
Saint Anne[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Nikisema hapa nitaonekana wa ajabu Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asanteee,hapo tuko sawa.
Ninong'oneze,ulevi wako ni upii mtoto mzuri?!
Bado naifikiria comment yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!...eti hapendi maparachichi yetu na akiyaona/akiona mtu anakula anahisi kichefu chefu sijui huwa anayafananisha na nini huyu mtu..Bado naifikiria comment yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu jamaa nikikuona tu namkumbuka Anko Magu,msukuma mwenzenu na roho yangu inaishia kuumia.
Dah[emoji38]Duh!!...eti hapendi maparachichi yetu na akiyaona/akiona mtu anakula anahisi kichefu chefu sijui huwa anayafananisha na nini huyu mtu..
Tuendelee kumuombea apumzike kwa amani mpendwa wetu
Imeisha hiyoooo[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Kwa kweli ongea na mzee wa kilingeni msata kwanza. Akishindwa yeye sisi tutakuja kumaliza kazi wenyewe.
Shemeji wa kienyeji kuna siku nitakuja huko kukula hii kitu halafu narudi nilipotoka.kha vyakula vyako vinanitikisiaga tumbo langu
😆😆😆aise kazi kweli kweli aloo🤣🤣[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]
Hakubadilisha akakuquote tena ukamuambia amekusaliti. Alikuja kubadilisha baadae.
Dada wa JF hapo ni znzMdogo Wangu wapi hiyo
nazitoa aisee manake nimekua kituko kwenye jamii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeshangaa sana kalumbu
Karibu sana shemeji wa kienyejiShemeji wa kienyeji kuna siku nitakuja huko kukula hii kitu halafu narudi nilipotoka.kha vyakula vyako vinanitikisiaga tumbo langu
Cheka tu mtumishi wa MUNGUDah[emoji38]
Sijui hata nacheka nini!
Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Asante shemwakienyeji.
Za kwangu njema/salama kabisa mpendwaAsante shemwakienyeji.
Nikwema kabisa Elly za kwako baba