Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nilivyoona picha nikacheka weee..nikajikaza bila kucomment.
Amekuja karma ni Kama amenitekenya
nikaporomosha cheko lote kwa comment


Mwee Kalumbu ifindu ifyo mma fyoma
karma nae kauliza kikuda
mwenyewe nikacheka then nikaiangalia my tattooo..
.



Karma siko nyuma ni tattoo mama

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 


Kama wewe ulivyo mlevi wa JF Mkuu.
Jamani

Yaani eti watu wapo kuteseka muda huu wanaangalia mechi.

Mimi Mpira nishaacha kuangalia maana nahisi ningekuja kuvunja Tv..huwa narusha miguu na mikono as if na mimi nipo kwenye kikosi.
Nikaona napata tabu sana,nikaamua niache tu kuangalia.
 
Kwa matatizo hayo hata mimi ningeacha..

Si bure ungekuwa unaenda uwanjani ungeng'oa hata viti...

Mpira ni mchezo wa kistaarabu.
Mimi huwa napata tabu sana.
Siwezi kutulia


Hadi mechi kuisha basi viungo vyote vinauma.
Nikaamua tu niache kuangalia mpira.
Sasa timu yangu ikifungwa ndiyo kabisa napagawa
siwezi vumilia kuona hayo maumivu ya kufungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…