Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Tuone picha za mwakajana[emoji7]Hahaaaaa!!!ngoja ntakutumia dadaa!!
Acha kabisa wanafunzi wananichosha hatari na mambo mengi mnoo!staki kunenepa tena Mimi jamani maana last year nilibongekaa mpk walijua nna mimba watu!
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ijumaa iliyopita hapa!ngoja nizisake dear!!za last yearView attachment 1751241
Hahahha eti T3Hahahaa!safi kabisa binamu punguza tu Mimi bwana last year hali ilikua tete nilinenepaa sijawahi ona yaani T3 zote zilikua juu!!kama puto!
Mungu akusimamie upungue kipenzi!
Hahahah!!ulijuaje hayo majina ya wanangu!!!umeniita exactly navoitwa aseehh![emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mama Ray na Vero [emoji8][emoji8]
Unaonekana binti mdogo[emoji7]
Nikiwa mkubwa natamani nimaintain mwili namna hiyo.
Naona mahindi pembeni yameshakomaa.
kilichokuchekesha[emoji14][emoji14][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nimecheka
Aiseee[emoji119][emoji119]Hahahah!!ulijuaje hayo majina ya wanangu!!!umeniita exactly navoitwa aseehh!
Mmama Mimi kabisa wa two kids !!kupungua ni nidhamu tu!Mimi sinywi pombe nashukuru kwa hilo!Niko above 33!
Kalumbu ntapaliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SijauonaMbona mkono upo kwenye picha niliyotuma.
Chungulia pale utauona.
RaynaveroHahaaaa!!!!acha hizoo nshazeeka Mimi bwanaaa!we mdogo wangu haswa..hyo hapo early January!View attachment 1751263
Jamaniiii!!![emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni tuleView attachment 1751267
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hahaaaa!!!!acha hizoo nshazeeka Mimi bwanaaa!we mdogo wangu haswa..hyo hapo early January!View attachment 1751263
hehehehhehehe unacheka my tattoo....wanyakyusa hatuko nyuma banaKalumbu ntapaliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo kula ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hicho ndicho kinachonichekesha.hehehehhehehe unacheka my tattoo....wanyakyusa hatuko nyuma bana
nna tattoo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Karibu Madame[emoji4]Jamaniiii!!![emoji39][emoji39][emoji39]
Ngoja nikasake hukoo chini![emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kweli ulikuwa chibonge.
Walimu huwa hamzeeki kabisa[emoji7]
Wadogo zenu tunaonekana Wazee kuliko nyie.
Haya weka na kale kapicha ka TBT sasa Madame[emoji7]
Wakati unaendelea kuisaka endelea kutupa za mwaka jana,tuendelee kusafisha macho[emoji7][emoji7][emoji7]Ngoja nikasake hukoo chini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujamaind??Yaani hicho ndicho kinachonichekesha.
Ila umetuwakilisha vyema homeboy..
Ila wanyakyusa na tattoo wapi na wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikutegemea yaani[emoji1787]
Yaani nilivyoona picha nikacheka weee..nikajikaza bila kucomment.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujamaind??
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app