Sikupanda treni nisafiri na bus kwenda na kurud..ingawa changamoto ya barabar ilikuwa ni kubwa kwa sababu ya Mvua kunyesha.hapo tulikwama karibu saa zima.next time nikienda itabidi nipande tren niende nikashinde bar kabisa
View attachment 1748531
Nawakubali sana mtende na heaven sent..ila HS sijawahi kumwambia kwakuwa hatujakuwa na muingiliano wa karibu.wakianza kutoa ushauri natafuta kiti kikowapi naanza kuchoma na mahindi kabisa...maana najua naenda kusoma nyundo za maana.yap mimi na mtende tunainteract..nje ya hapa hapana lakini naimani kuna siku nitakuja kufahamiana nae.kikubwa uzima.mtende na HS ni watu wanaonibariki mno na ndio watu ninaotamani kuonana nao nje ya JF.
Mtende na
Heaven Sent ninawakubali na kuwapenda sana