Eti Chakorya...mimi sikuimalizia waaahiii ilikuwa ni ndefu.
Kumbe na wewe ulishaniulizaga ee ok... nakumbuka pia Mtende alishawahi kuniuliza kuhusiana na jina hapo hapo nikapata na nafasi ya kummwagia sifa zake maana nilikuwa namkubali sana na sikujua nitaanzia wapi kummiminia sifa zake😊😊