Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mchumba umechanganya!Sasahivi wako busy kumtupia lawama.
Kila kitu yeye[emoji24]
Moyo wangu unaugua mno.
Ngoja tuwaache wajuvi wafanye mambo .
Hivi kwani hawawezi fanya tu bila kumsimanga?
Sijachanganya babeMchumba umechanganya!
MnoKuna persons baadhi wanavyo mdhihaki mwendazake, hadi napatwa na ganzi kabisa mwilini, siamini km ni wao yaan,
Kweli wanadamu ni wanafiki na hawana jema.
Mbona umeweka ukungu hatukuoni vizuri jamaniHustler's Ambition [emoji123]View attachment 1747876
PoleMimi sijaiona vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kumbe unasubiri tu uchumba uvunjike ili uhame[emoji23][emoji23]
Nawachelewesha???
Subiri anniversary ipite.
Hahaaaaa! alinipa na nibonge la handsome alafu kauzu flan hv amazing [emoji1] anapenda jokes pia,Sasa unamuachaje bro jamani [emoji134]
Vipi picha yake hajakupa?
Tumuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaaaa[emoji28]Kumbe unasubiri tu uchumba uvunjike ili uhame[emoji23][emoji23]
Nawachelewesha???
Subiri anniversary ipite.
[emoji23]Crush to Baby[emoji2297]
Ndio hivyo tena[emoji28][emoji23]
Mi sijaiona nitumie inbox mrembonimefuta tayari si umeniona sasa crush??
Ndinga umeacha wapi?Hustler's Ambition [emoji123]View attachment 1747876
Tena sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiki nn babu? Wanapelekwa jandoni na msondoni au?
Haya mambo magumu sana.