Mambo ya kukaririshwa Zaburi na Matendo ya Mitume sijui kama nitaweza.Mtakatifu ndo mzuri.mpe nafasi atoe msaada ππππ
Naam! wewe jisongeshe pande hii ππWeeee usiniambie bhana π
Aise...safi.Naam! wewe jisongeshe pande hii ππ
Hebu wacha niwahiwe hukooo...kizuri kula na nduguyoππMambo ya kuamshwa usiku wa manane kwa ajili ya maombi ya kuliombea Taifa kila siku sina hakika kama nitaweza. Unless akubali awe mke wa nneππ .
Kumbuka bado sijakupa talaka ujue, sio useme hivi wajanja wakaniwahi πππ
Unaona sasa unavyokata tamaa mapemaπππunaniangusha ujueMambo ya kukaririshwa Zaburi na Matendo ya Mitume sijui kama nitaweza.
Labda aniambie kila siku tuwe tunasoma kitabu cha Wimbo Uliobora, hapo nitawezaπππ.
Otherwise bora nirudi Zanzibar tu π
Ndani ya Pipa la Majini
Usifanye moyo wangu upasuke, mambo ya kula na wana siwezi kuvumilia. Utafanya niwe nakufungia ndani na sokoni nakwenda mwenyewe na kapu πHebu wacha niwahiwe hukooo...kizuri kula na nduguyoππ
Sasa hao ndo wazuri wa kusali usiku kama bado hujajua
Kwanini bebito unanitoa kirahisi hivyo mikononi mwako, me bado sijafaidi ujue vinono vyako vya PwaniππUnaona sasa unavyokata tamaa mapemaπππunaniangusha ujue
ππππweee usiniambie utanifungia ndani ππacha bhana utaweza kweli π€ͺπ€ͺUsifanye moyo wangu upasuke, mambo ya kula na wana siwezi kuvumilia. Utafanya niwe nakufungia ndani na sokoni nakwenda mwenyewe na kapu π
πππ nakumwaga kabisa kwa mtakatifu acha mambo yako..pigwa neno kwanzaπ€Kwanini bebito unanitoa kirahisi hivyo mikononi mwako, me bado sijafaidi ujue vinono vyako vya Pwaniππ
Usifanye niongeze siku za kuishi hapa Kisiwaniπ
Nitamchapa Neno hadi aende kufuta shuhuda kwenye Uzi wao pendwa.[emoji38][emoji38][emoji38] nakumwaga kabisa kwa mtakatifu acha mambo yako..pigwa neno kwanza[emoji851]
Mtakatifu mpunguzie dozi atazima ujue πππNitamchapa Neno hadi aende kufuta shuhuda kwenye Uzi wao pendwa.
A wapi[emoji1787]Mtakatifu mpunguzie dozi atazima ujue [emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe unataka ufanyeje??Hivi Wakuu ukikutana na jaribu la kutaka kuchepuka na mke wa mtu nini kifanyike?
Naona haka kapepo kananiandama now!
Nisaidieni maana nakapinga ila kapo tu!
Bado nahitaji huduma yako πππππ nakumwaga kabisa kwa mtakatifu acha mambo yako..pigwa neno kwanzaπ€
Nimeona huku Zanzibar wanavyofanya, tukirudi Bara nataka nikakufungie ndani tu.ππππweee usiniambie utanifungia ndani ππacha bhana utaweza kweli π€ͺπ€ͺ
Ningependa tukakae pale Mkulu hotel, au nyumbani utagombezwa ππA wapi[emoji1787]
Kuna watu wanatoa shuhuda kule hadi nadhani shetani anawashangaa.
Amesema anakuja Mbeya,nitamkaribisha nyumbani ili tuongee kwa uhuru.
Naanzisha kilinge piaππ[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nakumbuka mbali kidesa kizima unakisoma usiku mmoja, zima moto siyo kabisaπ poleni lknHahah acha kabisaah yaan, UE ilikua poaah, zimamoto tulikua kazini haswaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]