Naona mganga anawalisha juu kwa juu, hivi unaijua njaa wewe 😂😂Kwa kweli sijala Ila kuoga niliogeshwa na mvua ya jana..
Sema Leo njaa naisikia kwa mbaaaliii maana picha sio kama Jana & juzi aisee🤣🤣
Pulisic na Lizarazu walishatusifia.Mnashirikiana kutusema kiana we na Mzigua90 nawaona tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Saint anne twin ona hawa wadada [emoji23] wanasema wembamba hapana, inabidi tuongeze juhudi katika kula kabla huu mwaka kuisha nyama ziongezeke.
Pulisic CFC mtetezi we si unapenda vimbau eeh [emoji23][emoji23]
Badae 🏃Weka tena nione ili niwatetee vizuri
Saint anna nadhani hatudaiani tena..
View attachment 1222874
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti eehhh
😂😂😂😂 tuseme Amina kwa mtetezi LizaPulisic na Lizarazu walishatusifia.
Hao wengine hawana madhara.
Mimi nimewaona,sema nimevaa miwani ya mbao...hawanitishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Change of PlansMzee si ulisema mpk zifike page 500😆😆😆
Hivi we umekula mchana? Umeoga? Kila nikipita kuchungulia nakukuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha safiWeka tena nione ili niwatetee vizuri
Thanks...
Nahisi mganga anatulisha kwa Bluetooth ya asili🤣🤣Naona mganga anawalisha juu kwa juu, hivi unaijua njaa wewe 😂😂
Kula lazima kuoga hiari
Thanks...
Nahisi mganga anatulisha kwa Bluetooth ya asili[emoji1787][emoji1787]
Halafu mwanaume hupaswi kuogaoga tu kila saa...wengine tunataka tuwe na ngozi za mamba kama azipendazo kapeace[emoji23][emoji23]
Unakaribishwa nikupatie hyo rangi kwa watotoRangi nzuri sana ile nipendayo yani
😂😂 anatafute mke itakuwaHuyu Kaka atakuja kufa njaa walahi.
Tangu siku Uzi unawekwa habanduki
Depal kasema mganga ananilisha kiteknolojia...itakuwa kweli🤔🤔🤣🤣Huyu Kaka atakuja kufa njaa walahi.
Tangu siku Uzi unawekwa habanduki
Kweli hapo hata sijui na mimi nimefikiria nini!! Yaani eti nimepeleka kesi ya nyani kwa ngedere nikitegemea eti ngedere atakuwa upande wangu!!Khaaaa kwahiyo mimi mwenyewe huniamini sasa unafikili sakayo ataniponda ndugu yake
Unakaribishwa nikupatie hyo rangi kwa watoto
Wengine hata majasho yetu yananukia😆😆Hahahaha ilmradi usinuke tu
Wee ndio wajua mm ni mtoto..We mtoto huogoppi kuchungulia wakubwa zako?