Sikiliza na uende kamwambieeee,
Moyo wangu wamtuma chonde asigusieee,
fundi jeneza lisinifukieee,
Mapenzi yanauma asisikieee
kamwambieeee,
Siku hzi mapenzi hakunaaaa
Walio wengi wanatamni ooh
mwambie nateketea mshumaaa
Mwenye penzi la kweli hanithaminii×2
Jack Palladino Saint Anne View attachment 1741775