Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,410
Usinambie[emoji847]Basi mimi leo tangu asubuhi nauimba
Nitamuombea aache kuninyonga mnyonge[emoji1787]Kwa hasira ulizoonesha kwenye bando, huyo lazima umroge, i can see that coming
Hati iiiih hatiUsinambie[emoji847]
Leo nimepiga nyimbo chache Sana.
Huo hapo wa Bethel
Kinondoni Revival_imekwisha
Kijitonyama Upendo group_Njooni kwangu
Agape choir (wale wa Arusha)_Upendo wa Mungu
Hati ya mashitaka(sijui wameimba watu gani wa zamani sana)
Mateso yake Bwana Yesu_Mabibo kkkt
Mmmh kunya anakunya kuku akinya bata kaarisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndo ulipokosea angetokea mwingine sawa sio wewe uliye tafutiwa mume [emoji3][emoji3]
Mambo yoteUsijali imba nyimbo ya bob marley everything gonna be alright
Mbona mimi nimelala jamani.Mmmh kunya anakunya kuku akinya bata kaarisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe mbona ukawe crush kwa mke wa mtu[emoji849][emoji849][emoji849]
Simba wa yuda.Mambo yote
Yapo huku
Huku kwa Yesu
Uje uone
Mambo yote
KUG_mambo sawasawa
Uliwazalo ndo linalo kutokea...Wewe si umempenda..umenisaliti Mimi.
Na mimi siwezi kuendelea wallah
Wengine wanakesha baa
Litokee tu[emoji23][emoji23]Uliwazalo ndo linalo kutokea...
Wasiwasi ndo akiri wizooooooooooooo mkwepu anakupa hi ajambo kbsaaa
Akinguruma Mbeya yapendezaSimba wa yuda.
Leo msikilize Eminem song- MockingbirdAkinguruma Mbeya yapendeza
Akinguruma Tanzania yapendeza
Subiri uone baraka za mwana
Lolela uone baraka za Lesa
Hati ya mashitaka na hukumu ilifufwaHati iiiih hati
Hati ya mashitaka na hukumu ilifutwa
Dooh kweli nimezeeka
Labda mkwepu naye atajitoa kama mimi.Mkwepu alivo na wivu hvo jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke mwema[emoji8][emoji120]Wengine wanakesha baa
Wengine wanakunywa mapombe
Ila mimi ninakunywa chai ,chai na ubwabwa
(In Angel Benard's voice)View attachment 1741636
Hahhhha hya bhnaUcrush huu wangu hauna madhara kwa sababu mimi sijamtaka S TO I C..alinicrushia mwenyewe.
Sasa yeye Jack kakucrushia wewe...Bora wewe ungekuwa umecrushia yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan me nacheka tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sijampenda[emoji2357] kumbe Crush maana yake wanapendana eeh[emoji2369]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
[emoji1009]
Usicheke sana wataona tunapendana..we arw just Crush[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan me nacheka tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]