B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Sio lazima kua online sometimes ni vizuri kumisiana pia tuna mengi ya kufanya,Mimi kwa hizo bando ningepotea aiseee..
Vocha zangu za kutumia wiki2 eti natumia kwa siku[emoji26][emoji26]
Huwezi jua mtu ana shughuli gani mtandaoni.Sio lazima kua online sometimes ni vizuri kumisiana pia tuna mengi ya kufanya,
Online presence consume a lot of time,mitandao sio mizuri sana.
Utoaji sadak kwa upande wangu sio mafanikio!!!! Wengi wenye uwezo wa kutoa vingi na mengi si wasafi wa roho hata mwili,Ndiyo
Jitahidi ufwate hayo machache uone Mungu anavyojibu.
Sema makanisa yetu siku hizi mengi yanayumba Sana hasa kwenye upande wa utoaji sadaka..
Hadi Wana wa ulimwengu wanatuzidi,ndiyo maana watu wengi wa nje wanafanikiwa kuliko wa kanisani.
Nimetoa ufafanuzi kuhusu comment yangu iliyowapa utata.Sijampenda[emoji2357] kumbe Crush maana yake wanapendana eeh[emoji2369]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Ni kweli nimegusia side effect lakini wengi wetu tuko kundi la kwanza. Kuchati.Huwezi jua mtu ana shughuli gani mtandaoni.
Wewe umeangalia Moja la kuchat tu!
Lakini kuna mambo mengi yanafanyika kupitia intanet
Hahahha majungu si mtaji mdogo angu. Unaufahamu huu wimbo uliimbwa zamani sana, sijui hata kaa ulikuwa umezaliwaAcha acha acha dhambi zako
Acha acha acha utapotea
Wamhuzunisha roho wa Bwana
Wamhuzunisha kwa dhambi zako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu wimbo nimeupiga Sana Leo Ijumaa kuu.
Watuache eeh[emoji28]Mbona nyie ni macrush[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Wivu huuu[emoji23][emoji23]
Mwanamke huna dogo unataka uende tcra kabisa😆😆Bahati yao
Ningewasimanga usiku kucha.
Nimekuelewa mchumba!Tangu comment ya mwanzo nilielezea uchumba kufa...comment hiyo nikasema unakufa nikimaanisha uchumba unakufa japo nilitamani umalize mwaka maana tulianza uchumba May last year..
Sema sikuweka sentensi vizuri ikawa sentensi Tata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana yangu si hiyo waliyoimaanisha wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naujua.Hahahha majungu si mtaji mdogo angu. Unaufahamu huu wimbo uliimbwa zamani sana, sijui hata kaa ulikuwa umezaliwa
Taifa teule, Israel walimuasi Mungu
Wayahudi nao, wakataka kumuangamiza
Wakamkamata, wakamuweka mbele ya Pilato
Wale askari, katili katili kama Golliath...........
Hela yenyewe ya vocha niipate kwa mateso halafu nao waipore[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke huna dogo unataka uende tcra kabisa[emoji38][emoji38]
Sawa nitag hata mara mbili mbili, maana JF sometimes hawaniletei notifications mtu akinitagNgoja nikutafutie zile comments zenye picha
Kwa hasira ulizoonesha kwenye bando, huyo lazima umroge, i can see that comingUsipokuwa mwaminifu kwenye vitu vidogo,hata vikubwa pia huwezi.
Anza kutenga uchungu kwa vitu vidogo??
Mie nitapeliwe??[emoji1787]
Huyo tapeli ajipange.
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee Yesu wetu yupo kuugulia msalabani
Naujua.
Nikaukumbuka leo,nikaudownload.
Zamani nilikuwa naucheza sana.
Nimemsurprise dada yangu nilivyouweka
Usijali imba nyimbo ya bob marley everything gonna be alrightHela yenyewe ya vocha niipate kwa mateso halafu nao waipore[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nitag hata mara mbili mbili, maana JF sometimes hawaniletei notifications mtu akinitag
Am waiting [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Sawa mpendwa
Mkwepu alivo na wivu hvo jmn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo nakugawia
Utakuwa nao wawili.
Aliyenacho anaongezewa[emoji23][emoji23][emoji23]