Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,356
Naona unataka haribu mambo zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inabd tuuuangalie huu ukaka na dada wangu mimi na ww una viraka kibao....tuuvunje uwe mchumba angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baba joyce hana baya ....analea sasa hiviNaona unataka haribu mambo zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka msaliti kaka yako?
Loli kalumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baba joyce hana baya ....analea sasa hivi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ghamalikeLoli kalumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanionea sasa..... Mbona taarifa nilitoa mapema kabisaUnaondoka kimyakimya [emoji28]
41 kubwa
41 ndio size yenyewe.... Vaa tu, utakuwa nacho[emoji23][emoji23][emoji23]Unaondoka kimyakimya [emoji28]
41 kubwa
Ulitoa ila haukusema ni liniUnanionea sasa..... Mbona taarifa nilitoa mapema kabisa
[emoji23][emoji23]41 ndio size yenyewe.... Vaa tu, utakuwa nacho[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwa mwezi unakunywa bia za sh ngapi?
unataka kuleta umotivation speaker kwamba ningekua nimejenga kwa idad za bia nazokunywa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hivi kwa mwezi unakunywa bia za sh ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]unataka kuleta umotivation speaker kwamba ningekua nimejenga kwa idad za bia nazokunywa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
sijawai jua nakunywa shingap kwa mwezi....koz sinywi siku zote kuna break hua zinatokea so sijuagi idad za bia.....
cha Muhimu Mungu ni mwema anatupenda wote Wanywa bia na wanywa mirinda
amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
jack mwanahapa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nilitaka nianze kupiga hesabu za bia kwa miezi 6 nikilinganisha na bei za kiwanja[emoji1787]
Ila mchumba wangu Jack angekuwa na nyumba zisizo na idadi huku kijinini Kama nikipiga hesabu za pombe anazokunywa.
Nilikwambia when it might happen, nenda kaangalie vizuri [emoji4][emoji4]Ulitoa ila haukusema ni lini
[emoji23][emoji23][emoji23] mguu ndio upo hivyo. Kwan ww wavaa size ngapi?[emoji23][emoji23]
Halafu hivi ni macho yangu ama yananidanganya ama ni nini!
Mtoto mdogo hivyo unavaa 41?[emoji1787][emoji2088]
hahahahahahStalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh kufa tena[emoji2297]Tofauti yangu na yako ni kwamba mimi nilipendwa humu na mtu mwingine,wewe umeamua kumpenda mwingine.
Hauna siku nyingi utakufa,japo nilitamani umalize mwaka.