Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi huzuni yangu ni wewe kuondoa picha ya mheshimiwa kwenye avatar yako wakati hata arobaini yake haijapita!😭😭😭
Anko frog kama ulikuwa humpendi JPM hayupo sasa amelala zake na hatoamka tena.tumepata Madam Amiri Jeshi mkuu amekuja na Baraza lake bado unaendekeza chuki!!😳😳😳

Napata ukakasi kidogo yawezekana maslahi yako binafsi yaliguswa na JPM lakini ndo hadi na SSH na baraza lake???🥺🥺

Anko frog punguza chuki basi aise 🤓ukiendekeza chuki sana nyongo itakupasukia tumboni huko.angalia hiyo chuki yako usiwaambukize na watoto maana wataishi maisha magumu mnoo 😏😏

JPM nitamuweka kila siku,kila saa moyo wangu utakapoamua.🥂🥂
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…