Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaa. Nitafutieni tu mume. Bata zangu mie sio za gharama maana nalipiwa kila kitu hata msione wivu sio hela yangu ile
. Unene unapungua mwaya. Nakimbia nipungue kidogo. Sema sipendi wembamba pia
Kuwa mwembamba bora ubaki chibonge, mi mwenyewe wembamba hapana

Ngoja tuwasakue mabaharia wakuje wachukue jiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…